Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya TBL, David Minja, akimkabidhi jezi ya Yanga, Nahodha wa timu ya waandishi wa habari mashabiki wa Yanga, Muhidin Sufiani AKA Sufianimafoto, kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na wenzao wa Simba, baada ya mafunzo hayo ambapo katika mchezo huo Yanga ilishinda 1-0. Katikati ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah. Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (kushoto) akimkabidhi jezi Nahodha wa Timu ya waandishi wa habari Mashabiki wa Simba, Amri Masale, kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na wenzao wa Yanga.
Mkurugenzi Masoko wa Kampuni ya Bia ya TBL, David Minja, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mafunzo maalum yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa waandishi wa habari za michezo kuhusu michuano ya Kili Taifa Cup, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano hiyo. Mafunzo hayo yalifanyika leo kwenye Ukumbi wa South Beach Kigamboni Dar es Salaam.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe, akisisitiza jambo na kufafanua kuhusiana na mashindano hayo.
Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu, akifungua mafunzo hayo kwa waandishi wa habari.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhulia mafunzo hayo wakiwa makini kunakili kila kinachsemwa.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini, Angetile Osiah, (katikati) akijibu maswali ya waandishi baada ya mafunzo hayo.
Said Makala (kushoto) akimtoka Bashir Nkolomo wakati wa mchezo wa kirafiki wa Yanga na Simba kwa mashabiki wa timu hizo waandishi wa habari.
Kelvin akimtoka beki wa Simba.
Fadhili Akida akiwatoka mabeki wa Yanga.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa goli 1-0 baada ya filimbi ya mwisho.
Manahodha wa timu hizo, Amri Masale (kushoto) na Sufianimafoto, wakibadilishana jezi ikiwa ni ishara ya fair play baada ya mchezo huo.
Mashisti, Mwani Nyangasa (kushoto) na Asha Kigundula, wakikatiza katika viwanja vya South Beach.
Doris akiwa na mmoja wa wafanyakazi wa TBL katika viwanja vya South Beach.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM
-
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya
CCM, Dk Emmanuel Nchimbi amewasili Songea, mkoani Ruvuma leo Septemba 19,
2025.
D...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment