Hiki ni moja ya kivuko kinachotoa huduma ya usafiri pande Kivukoni to Kigambonino, likipishana na kivuko kilichobeba waandishi wa habari wa michezo wanaoelekea South Beach kweny Bonge la Semina iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia TBL 'Kili Taifa Cup'.
Baadhi ya waandishi wakijisevia Break Fast, Mwanahiba Richard na Zahor Milanzi. 

No comments:
Post a Comment