Katibu Tarafa wa Ikwiriri, Ali Msuya (kulia) akizungumza wakati wa Semina ya Haki na Wajibu wa watumiaji wa mawasiliano iliyokuwa ikitolewa kwa Wanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya jamii (FTC) Ikwiriri leo. Picha Zote na Mroki MrokiSehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (FTC) Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wakisikiliza moja ya mada juu ya haki na Wajibu wa watumiaji wa mawasiliano iliyokuwa ikitolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) chuoni hapo.
Baadhi ya wanachama na wafuasi wa Chama cha Wananchi CUF, Ikwiriri mkoani Pwani, wakimsikiliza Mwenyekiti wa taifa wa Chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba (hayupo pichani wakati wa mkutano wake wa hadhara Ikwiriri juzi ikiwa ni maandakizi ya uzinduzi wa Oparesheni Zinduka ya chama hicho itakayofanyika Mwezi Mei mwaka huu.
No comments:
Post a Comment