Warembo wanaotarajia kushiriki shindano la kumsaka Miss Dar City Center 2011, wakiwa katika picha ya pozi ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea kwenye ukumbi wa Hoteli ya Lamada Ilala Dar es Salaam. Warembo hao wanatarajia kupanda jukwaani Mei 13 kuwania Taji hilo ambpo shindano hilo litafanyika katika ukumbi huo huo wa Lamada na kusindikizwa na burudani kibao na za wasanii mbalimbali wa miondoko ya Bongo Flava na Dansi. Warembo hao wakiwa katika mazoezi ya kucheza Shoo ya ufunguzi.
Muandaaji wa shindano la Miss Ilala, Jackson Kalikumtima (katikati) akiwa na mwandaaji wa shindano hilo la Dar City Center, Fatma (kushoto) wakiangalia mazoezi ya warembo hao jana jioni.
Wadau wakiwa katika ukumbi huo wakifuatilia mazoezi ya warembo hao.
Kalikumtima akihakiki staili za shoo ya warembo ukumbini humo jana.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Bashiri Kumpata Bingwa wa EPL 2025/26
-
HUKU zikiwa zimebaki wiki chache Ligi kuu ya Uingereza irejee, timu
mbalimbali zinaendelea kufanya usajili kujiweka sawa kwenye msimu unaofuata
wa 202...
CECAFA KUZIPIMA TIMU ZA CHAN 2024
-
Na Mwandishi Wetu
BARAZA la Vyama vya Soka Ukanda wa Afrika Mashariki na (CECAFA) limeandaa
mashindano maalum kwa ajili ya timu zinazoshiriki fainali...
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment