Habari za Punde

*ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA NCHINI WA KULAUMIWA NANI SERIKALI AU WAFANYABIASHARA?

Ongezeko la bei ya Mafuta nchini limezidi kupanda hadi kufikia zaidi ya Sh 2000 kwa lita kama inavyoonekana, pichani ni moja ya Kituo cha mafuta kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam kinachouza Sh 2000 ka lita. Na baadhi ya Vituo vimepandisha bei na kufikia hadi Sh 2020, ambapo wafanyabishara wamekuwa wakipandisha bei hizo kwa madai ya kutokea machafuko katika nchi za ughaibuni ambako hutoka mafuta hayo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.