Waziri wa Ujenzi, John Magufuli (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa Rais Kikwete wakati wa sherehe za kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa sehemu ya Barabara ya Mwenge hadi Tegeta, mkoani Dar es Salaam , yenye urefu wa kilomita 12.9. Upanuzi huo unatekelezwa na serikali ya Japan kupitia shirika lake la JICA kwa Sh bilioni 88 za Tanzania . Picha na Mwanakombo Jumaa, MAELEZO Waziri John Magufuli (kushoto) na Balozi wa Japan Nchini, Hiroshi Kanagawa wakiwapungia mikono wananchi wakati wa sherehe hiyo.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 17, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 17,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za M...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment