Habari za Punde

*MASHOSTI WANAPOKUTANA BAADA YA KUPOTEZANA KWA MUDA

Eti wadau hebu niambieni hapa nani ni Naniliu zaidi ya mwenzake?, Mashoti hawa walikutana leo baada ya kutoonana kama mwaka mzima hali ya kuwa wote wapo na mishe mishe zao hapa hapa town, nashindwa kukusimulia jinsi walivyokuwa wakipiga stori we naoma jibu tu ya hilo swali lililouliza hapo juu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.