Ofisa Mkuu wa biashara wa Benki ya NMB, Kees Verbeek na Ofisa Mtenadaji Mkuu wa African life Assurance, Julius Magabe (kulia) wakizindua rasmi huduma mpya ya ‘NMB FARAJA’ yenye lengo la kuwanufaisha wateja wa nmb wenye akaunti binafsi pale wanapopatwa na matatizo ya msiba. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam leo. (wapili kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliani wa NMB, Imani Kajula.
MSIMAMO: MARIDHIANO NDIO UKUTA PEKEE WA KUZUIA TANZANIA ISIINGIE KWENYE
MAJANGA
-
Tanzania imetakiwa kutumia mbinu ya maridhiano na mazungumzo kama kinga ya
pekee dhidi ya viashiria vya migogoro ya kisiasa, ili kuepuka kuingia
kwenye ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment