Ofisa wa Mradi wa Save the Children Zanzibar, Amina Kheir (kulia) akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayowajumuisha maofisa upelelezi wa Jeshi la Polisi Unguja na Pemba, yanayofanyika katika Hoteli ya Beach Resort mjini Zanzibar. Kushoto ni Mkufunzi kutoka Idara ya Sheria ya Marekani, Gigi M.Scoles.Picha na Martin Kabemba.
HISPANIA YAICHAPA UFARANSA 2-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA
-
TIMU ya Hispania imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Dunia baada ya
ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ufaransa usiku huu Uwanja wa AT&T Jijini
Arlington...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment