Mkurugenzi wa Mahusiano na Jamii wa kampuni ya Serengeti, Teddy Mapunda (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh milioni 80, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, Juma Pinto, ikiwa ni sehemu ya udhamini wa Tunzo za Taswa za Mwanamichezo bora wa mwaka, zinazotarajia kufanyika Mei 6 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wapili (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa Taswa, Maulid Kitenge, Meneja wa Mahusiano na Jamii, Nandi Mwiyombella na Katibu wa Taswa, Amir Mhando.
DK SAMIA AACHA KICHEKO WILAYANI NYASA AKIAHIDI MPANGO UJENZI RELI YA KISASA
-
*Pia imo miradi ya ujenzi wa bandari mbili, barabara na Liganga, Mchuchuma
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. ...
28 minutes ago
No comments:
Post a Comment