Ofisa Biashara na Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto), Mkurugenzi wa Kitaifa wa Miss Universe, Maria Sarungi, (katikati) na Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe, Hellen Dausen, wakishikana mikono kuashilia uzinduzi rasmi wa shindano la Miss Universe linalotarajia kuanza hivi karibuni. Uzinduzi huo ulifanyika jijini jijini Dar es Salaam jana
NEMC Yawatembelea Watoto Wenye Ulemavu
-
-𝐘𝐚𝐬𝐡𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨 𝐊𝐢𝐭𝐮𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐄𝐫𝐢𝐜k 𝐌𝐞𝐦𝐨𝐫𝐢𝐚𝐥
𝐌𝐨𝐫𝐨𝐠𝐨𝐫𝐨
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupiti...
16 minutes ago
No comments:
Post a Comment