Habari za Punde

*SIMBA WAJIFUA KUWAKABILI T.P MAZEMBE

Mshambuliaji wa Simba Joshua (kushoto) akiambaa na mpira kumtoka beki Amir Maftah, wakati wa mazoezi yao kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano na T.P. Mazembe ya Kongo, unaotarajia kuchezwa Jumapili kwenye Uwanja wa taifa Dar es Salaam. Mazoezi hayo yamefanyika leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa. Shiboli (katikati) akijiandaa kumtoka Ochan, wakati wa mazoezi hayo, (kushoto) ni Amir Maftah.
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, akisimamia mazoezi hayo leo jioni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.