Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Said Ntimizi, akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu maazimio ya kikao cha Baraza Kuu la Vijana wa chama hicho, yaliyowasilishwa kwa Serikali. Miongoni mwa maazimio hayo ni pamoja na kuwataka watendaji ndani ya Serikali na Mashirika ya Umma, kuonyesha uwezo, uwajibikaji na uadilifu ili Serikali isibezwe na watu wasioitakia mema katika uongozi wake. Kulia ni Katibu Mkuu wa umoja huo, Omar Ng'wang'walu, Kamanda wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu (CCM), Moses Katabaro (wa tatu kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Umoja huo, Mustafa Hakika.
Serikali yamfungulia Mange Kimambi kesi ya uhujumu uchumi
-
Serikali ya Tanzania imemfungulia rasmi mashtaka ya uhujumu uchumi , Mange
Kimambi,Mtanzania anayeishi nchini Marekani.
Taarifa kutoka kwenye tovuti...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment