Habari za Punde

*WANAMICHEZO WANAOWANIA TUZO ZA TASWA MWAKA 2010 WATAJWA

Katibu Mkuu wa Chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania, Amir Mhando akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Katibu msaidizi George John


Riadha Wanaume:-


1. Samson Ramadhan


2. Marco Joseph


3.John Bazil


Wanawake:-


1. Zakia Mrisho


2. Mary Naali


3. Magdalena Mushi


2. Wavu Wanaume:-


1. Kevin Peter (Magereza Wanaume)


2. –Mbwana Ally Mzinga Morogoro


3. Ibrahim Cristopher( Nyuki Zanzibar).


Wanawake:-
1. Hellen Richard Mwegoha (Magereza Wanawake).


2. Yasinta Remmy (Jeshi Stars)


3. Zainabu Thabit (Jeshi Stars)


3. Netiboli


1. Lilian Sylidion-Filbert Bayi


2. Mwanaid Hassan-JKT Mbweni


3. Sekela Dominick-JKT Mbweni


4. Karate Wanaume:


1. Sempai Steven Bella


2. Semapai Ayub seleman


Wanawake :- Kuna jina moja haliwezi kutangazwa.


5.Kikapu Wanaume:-


1. George Otto Tarimo- Savio-Dsm


2. Lusajo Samwel Mwakipunda- Oilers-Dsm


3. Gilbert Batungi


Wanawake:-


1. Faraja Malaki- Jeshi Stars-DSM


2. Zakhia Kondo- Lady Lioness-Dsm


3. Doritha Mbunda- JKT Stars


6. Soka Wanaume


1: Khamis Mcha-Zanzibar Ocean View


2.Mrisho Ngasa-Azam FC


3.Shadrack Nsajigwa-Yanga


4. Juma Kaseja-Simba


Wanawake:-


1.Asha Rashid


2.Mwanahamisi Omary


3.Fatuma Omary


7. Ngumi za Kulipwa


1. Karama Nyilawila


2.Mbwana Matumla


3. Francis Cheka


8. Ngumi za ridhaa


1. Revocatus Shomari-Bantam


2. Selemani Kidunda-Middle Weight


3.Said Dume-Fly Weight


9. Gofu Wanawake:


1. Hawa Wanyeche


2. Madina Iddi


3. Vailet Peter



Wanaume:-


1. Frank Roman-


2. Adam Abbas


3. Isaac Anania


10: BAISKELI


10. Baiskeli Wanaume:


1:Hamis Clement


2: Richard Laizer


3:Said Jumanne


Wanawake


1:Sophia Anderson


2:Martha Anthony


3:Ndashimba Kulia


11. Kriketi Wanaume:-


(1) Kassim Nassor


(2) Seif Khalifa


(3)Benson Mwita


Wanaawake:-


(1) Hawa Salum


(2) Mariam Said


(3) Sophia Hemed


12. Mpira wa mikono Wanaume:


1.Kazadi Monga-Magereza


2Hemed Saleh-JKT


3Abineri Kusena-JKT


Wanawake:-


1. Happiness Mahinya-JKT


2. Teresia Kifukwe-Magereza


3. Zena Mohammed-JKT


13. Watanzania wanaocheza nje:-


1. Hasheem Thabeet-Kikapu


2. Henry Joseph-Soka


3. Rogers Mtagwa-Ngumi


4. Nizar Khalfan-Soka


14. Wachezaji wa nje wanaocheza Tanzania:-


1. Emmanuel Okwi-soka (Simba)


2. Yaw Berko-soka (Yanga)


3. Kanda Kabongo-Kickboxing


15. Wanamichezo Chipukizi:-


1: John Bazil-riadha


2.Magdalena Cristian-riadha


3. Lilian Sylidion-netiboli


4. Vailet Peter-Gofu


16. Judo Wanaume:-


1. Khamis Azan Hussein-Zanzibar
2. Abeid Omar Dola-Zanzibar


3.Masoud Amour Kombo-Zanzibar


17: TUZO YA HESHIMA:Itatangazwa siku ya siku.


Katibu Kamati ya Tuzo


27/04/2011



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.