CHAMA cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) kesho April 27, 2011 saa tano asubuhi kupitia Kamati ya yake ya kusimamia Tuzo ya Wanamichezo Bora Tanzania Mwaka
2010, itatangaza wanamichezo ambao watawania tuzo kwenye michezo mbalimbali.
Hafla hiyo ya kutangaza majina ya wachezaji hao inatarajia kufanyika kwenye mkutano huo utakaofanyika hosteli za TFF, Karume
asubuhi.
Na washindi watakaopatikana kwenye kila mchezo pia watawania tuzo ya Mwanamichezo Bora wa
na mshindi wa tuzo hizo za mwaka huu atazawadiwa gari.
Waandishi wote wa habari za michezo mnakaribishwa bila kukosa.
No comments:
Post a Comment