Mrembo aliyewaacha watu hoi kwa kuvaa vijingua vifupi huku akipita katika mitaa ya Iringa, akizomewa na wavulana waliokuwa katika mtaa huo huku akifuatwa na watu kibao mjini humo jana. Jana na wananchi wa mji wa Iringa wametishia kuchukua hatua kwa wote waliomzomea mdada huyo kwa madai kuwa hawakumtendea haki.
TUZO ZA WAKUU NA WATENDAJI WA MAKAMPUNI 100 BORA ZINALENGA KUVUTIA
UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA TANZANIA
-
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati),
amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora zimelenga kuvutia
Uwekezaj...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment