Mkurugenzi Mauzo na Masoko wa Bia ya Tusker,Segun Macaulay (watatu kushoto)akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. milioni 1, Mathias Martin, mkazi wa Yombo baada ya kujishindia katika promosheni ya Tusker Milioni 500 kwa mashabiki, inayochezeshwa na kampuni ya SBL kupitia bia ya Tusker ambayo itaendelea hadi mwezi July kwa watumiaji wa bia ya Tusker kujishindia zawadi mbalimbali za fedha. Wanaoshuhudia tukio hilo (kulia) ni John Warange na Rittah Mchaki meneja wa kinywaji cha Tusker (kushoto). Hafla ya kukabidhi zawadi hizo imefanyika Chang'ombe katika kiwanda cha (SBL)jana. Trophin Marcel, akikabidhiwa zawadi ya mfano wa hundi.
John Shirima, akikabidhia zawadi ya mfano wa hundi.
Baraka Simon, akikabidhiwa zawadi ya mfano wa hundi.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment