Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Twenty Percent akishambulia jukwaa wakati wa tamasha la wanamuzi la wasanii walioibuka kidedea katika Tunzo za Kilimanjaro Music Awards 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
CNN Yakiuka Maadili: Dar na Washington zahoji nia za taasisi hii kubwa ya
habari duniani
-
Na Mwandishi Maalumu
Serikali ya Tanzania na baadhi ya viongozi waandamizi wa Marekani
wameelezea kutoridhishwa kwao na Shirika la Habari la Kimataif...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment