Habari za Punde

*VODACOM FOUNDATION YAENDELEA NA MPANGO WA KUTOKOMEZA TATIZO LA UHABA WA MADAWATI KWA SHULE ZA NCHINI

Ofisa Elimu na ufundi wa Halmashauri ya wilaya ya kibaha, Ramadhan Luwoga(kushoto) akimshukuru ofisa wa Vodacom Foundation, Grace Lyon, baada ya kukabidhiwa msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4 katika shule ya msingi ya mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani Pwani leo. Madawati hayo yaliyotolewa na Vodacom Foundation shuleni hapo katikati ni mwalimu Mkuu wa shule hiyo Praygod Mseja. Ofisa wa mfuko wa kusaidia jamii, Vodacom Vodacom Foundation, Grace Lyon,Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkoani iliyopo wilaya ya kibaha mkoani wa pwani, wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo baada ya uongozi wa Vodacom kufika shuleni hapo kukabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4. Wanafunzi wa shule ya msingi mkoani ya wilaya ya kibaha mkoa wa pwani, Gift Masawe (kushoto) Issa Kikeni (kulia) wakimwangalia Mtaalamu wa masuala ya habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, akiweka nembo ya Vodacom kwenye madawati.






No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.