Habari za Punde

*TAMASHA LA WASHINDI WA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS LAFANA KILIMANJARO

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la Tanzania House Of Talent (THT) Linah, akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011, lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. Picha Zote na Francis Dande.
Linah akishambulia jukwaa na shabiki wake.Waimbaji wa bendi ya Mapacha Watatu, Jose Mara na Kharid Chokoraa

(kulia) akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za
Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Chuo
cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)
kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

Khalid Chokoraa akishambulia jukwaa.Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo hizo.Wanamuzi bora wa Hip Hop, Jacob Makala 'JCB' (kulia) na Daudi Bakari wakitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa
wiki kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Moshi (MUCCoBS).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.