Habari za Punde

*UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, baada ya waziri huyo kufungua mkutano wa siku mbili wa baraza la wafanyakazi la ofisi ya mwanasheria mkuu wa Serikali unaofanyika katika Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Picha na Anna Nkinda-MAELEZO

Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Sheria, Hamis Msigala akimkabidhi risala ya wafanyakazi Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, (katikati) ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akishuhudia.
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunguliwa kwa mkutano wao mkuu. Watatu kutoka kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akifuatiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema na watano kutoka kulia ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju.









No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.