WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
kwa waafrika kufanya jitihada za makusudi kuongeza ufanisi katika uzalishaji ili
kuendena na ushindani wa mahitaji ya walaji katika soko la dunia na kwingineko katika mataifa yaliyoendelea.
Waziri Mkuu aliyasema hayo alipofungua Mkutano Mkuu wa Maeneo Huru ya Uwekezaji Afrika (AFZA) jana katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam jana ambao unaendelea kwa siku tatu hadi kesho chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia na EPZA
Alisema ili Waafrika wafanikiwe katika
“Ni fursa kubwa kwetu
katika maeneo yenu hivyo nachukua nafasi hii pia kuzihimiza serikali zetu ziweke mkazo katika mikakati ya uwekezaji”, alisema Waziri Mkuu.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Tanzania Dkt Adelhelm Meru alisema mkutano huu pamoja na wengine unajumuisha wadau kutoka maeneo huru ya uwekezaji katika nchi tofauti za Afrika, watunga sera kutoka sekta za umma, wataalam
kutoka Benki ya Dunia, Ulaya,
Meru aliongeza kwamba hii ni fursa kwa wawekezaji wa ndani kuona changamoto mbalimbali wanazozipata wawekezaji wengine na kutafuta njia ya kujinasua nazo.
Aliongeza kuwa mkutano pia utasaidia wawekezaji wa ndani kujenga mbinu mbalimbali za jinsi ya kuunda ukanda huu wa uwekezaji Afrika ili kuwawezesha wao kuwa wawezeshaji wakuu katika kuhakikisha malengo ya maendeleo ya millenia
yanafikiwa.
“Mkutano huu utawasaidia wawekezaji wa kizalendo kuweza kutafuta njia za pamoja ambazo zitasaidia kuendeleza maeneo huru ya uwekezaji ili kufikia malengo ya millennia lakini pia ni fursa nzuri kwetu
za kuinuka kiuchumi kupitia maeneo haya ya uwekezaji”, alisema Meru.
Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Jukumu la Maeneo Huru ya Uwekezaji katika kufikia malengo ya Milenia 2015” ambapo wazungumzaji wakuu watakuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Cyril Chami, Mwenyekiti wa AFZA Dk. N. Abe wa
Mada nyingine zitawasilishwa na Alberto Castronovo wa AFZA kutoka Italia, Profesa Samuel Wangwe ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa REPOA
maeneo ya uwekezaji yamepiga hatua kubwa.
AFZA ni shirika la kimataifa la hiari lililoanzishwa Oktoba 2004 Afrika Kusini kwa lengo la kuendeleza ushindani katika maeneo huru ya uwekezaji ili kuendeleza mageuzi ya kiuchumi barani Afrika.Mkutano mkuu wa kwanza wa AFZA ulifanyika
No comments:
Post a Comment