Sehemu ya mashabiki na watazamaji ama wafuatiliaji wa Big Brother wakiwa ndani ya Ukumbi wa Nyumbani Lounge, wakishuhudia uzinduzi rasmi wa kinyang'anyiro cha kuwania kitita cha kufanikiwa kuishi siku 91 ndani ya jumba la maajabu la Big Brother huko nchini Afrika ya Kusini. Pamoja na uzinduzi huo kufanyika Afrika ya Kusini lakini bado pia watanzania walijumuika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Lounge chini ya mwaliko wa DStv na kujihisi kuwa nao wamefika South na kushuhudia live.
Ofisa Uhusiano wa DStv, Barbara, akizungumza wakati akiwakaribisha wageni waalikwa ukumbini humo jana usiku kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi huo.
Mtangazaji wa Redio Clouds, Gerald Hando, akiwa ni miongoni mwa watu walioalikwa kushuhudia uzinduzi huo, pamoja na mtangazaji mwenzake, Dina Marios (katika mstari huo kushoto).

Baadhi ya warembo waliohudhuria uzinduzi huo.
Wageni waalikwa Deo Rutta (mwenye shati la Kitenge) akiwa na rafikize ukumbini humo.
Pia baadhi ya watu hawakusita kuchukua matukio kupitia Screen zilizokuwapo ukutani kama hawa jamaa wakiwa bize 'kutake'matukio.
Hawa jamaa si Mashalobalo bali ni Mananilu nao wakipozi kwa picha baada ya kuona kamera ya Sufianimafoto ikipita mbele yao.
Watu kibao babake walikuwapo ukumbini humo kila mmoja akiwa bize kuhakikisha anashuhudia.
Watu kibao babake walikuwapo ukumbini humo kila mmoja akiwa bize kuhakikisha anashuhudia.
Warembo kibao pia walikuwapo......na Mabrother Man kibao.....
Hata wasanii wa filamu pia walikuwapo ukumbini humo.
"Picha piga basi pozi linaisha bwana"...ndivyo walikuwa wakisema jamaa hawa mbele ya kamera.
Hata wasanii wa filamu pia walikuwapo ukumbini humo.
"Picha piga basi pozi linaisha bwana"...ndivyo walikuwa wakisema jamaa hawa mbele ya kamera.
Pozi kwa picha zilikuwa kibao kila unapokatiza ukumbini humo.
No comments:
Post a Comment