
Mke wa Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akipokea taarifa ya kuutambulisha mradi wa FHI pamoja tuwalee kutoka kwa Priskila Gobba, ambaye ni Mkurugenzi wa mradi huo. WAMA kwa kushirikiana na FHI pamoja tuwalee watafanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kuwakomboa watoto yatima wa Tanzania. Picha na Anna Nkinda-MAELEZO
No comments:
Post a Comment