"Hata viongozi wetu walianza kama hivi, hawa ndoyo viongozi wa kesho wa Taifa letu", Bi Faudhia Mrisho, akiwa na watoto anaowafundisha masomo ya ziada (tution) nje ya nyumba yake mtaa wa Matomondo manispaa ya songea, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu jana, huku akiwafundisha masomo mbalimbali.Picha Zote na Muhidin Amri, Songea
Mkuu wa Brigedi ya 401 Songea, Brigadia , Ciryl Mhaiki (kushoto) akizungumza na mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea, Ali Manya (kulia) na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, Hemedi Dizumba, wakati wakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Songea kusubiri kumpokea Rais Jakaya Kikwete, aliyewasili mjini Songea leo kwa ajili ya kufunga Wiki ya Mazingira na kumsimika Kaldinali.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment