Ofisa Mauzo na masoko wa kampuni ya Vodacom Mkoa wa Ruvuma, wadhamini wa mashindano ya Vodacom Miss Tanzania, Adam Mbega (katikati) akizungumza wakati wa mkutano wa kuwatambulisha washiriki wa shindano la kumtafuta Miss ruvuma 2011, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana katika ukumbi wa Hoteli ya Chimbond, Mjini Songea (kulia) ni mratibu wa mashindano hayo Dkt. Herman Mayunga na (kushoto) ni mwalimu wa warembo hao, Juma Nyamwela. Picha Zote na Muhidin Amri, Songea
Mratibu wa shindano la kumsaka Miss Ruvuma 2011, (Vodacom Miss Ruvuma 2011) Dkt. Herman Mayunga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wa mjini Songea katika ukumbi wa Chimbond Hotel, kuhusu maandalizi ya mashindano hilo.linalotarajia kufanyika wiki ijayo. Kulia ni mwalimu wa warembo hao kwa upande wa Catwalk, Cleopatra George na (kushoto) ni Ofisa mauzo na masoko wa kampuni ya Vodacom Mkoa wa Ruvuma, Adam Mbega. Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mchuano huo unaotarajia kufanyika wiki ijayo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment