Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, Shaggy, amewasili jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kuanza kukonga nyoyo za mashabiki wa miondoko ya muziki wake, ambapo anatarajia kuanza makamuzi leo hii huko Ngome Kongwe Zanzibar, ambapo atoshambulia jukwaa katika Tamasha la ZIFF na keshokutwa siku ya Jumapili atawapagawisha vilivyo kina Ngosha huko jijini Mwanza kwa kuangusha bonge la Shoo katika Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa ni siku maalum ya uzinduzi wa Tamasha la kusherehekea miaka 10 ya Serengeti Fiesta 2011.
WATEJA WA BENKI YA CRDB WAFURAHIA HUDUMA WAKIJIZOLEA ZAWADI
-
Kampeni ya TUSHAVUKA HUKO ya Benki ya CRDB inaendelea kuvunja rekodi baada
ya wateja kutoa ushuhuda kuhusu maboresho makubwa ya mfumo na huduma za
be...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment