
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ushirka na Biashara Moshi (MUCCOBS) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana. Wanafunzi hao walifika bungeni kwa ajili ya kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge wakati wa kusomwa kwa Bajeti 2011/2012 . Kutoka kulia ni Waziri Katiba na Sheria wa Chuo hicho, Rapheel Maghoa, Pete Mushi (Naibu Spika), Marry -(Katibu wa Bunge) na Kutoka kushoto ni Aderson Rwela (Waziri mkuu) na Rogati Timanywa (Spika) -Picha na Nicholaus Mmbaga -PMO
No comments:
Post a Comment