Bandari ya Mtwara si kama ilivyo Bandari ya Dar es Salaam iliyo na msongamano wa magari na mizigo, Je hakuna uwezekano wa kuhamishia baadhi ya mizigo na magari yakashukia katika Bandari hii?? Haya ni mawazo yangu!
Nishati : TANESCO Mmefanya Mageuzi Makubwa katika Huduma ya Umeme kwa
Wananchi - Mhe. Ndejembi
-
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) limeendelea kufanya mageuzi makubwa katika kuboresha
upatikan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment