Dereva na abiria katika usafiri huu wa pikipiki ni bora 'kufika' na si usafiri bora ulio salama kutokana na jinsi Pikipiki hii ilivyokuwa ikiyumba tairi katikati ya Barabara na kutoa moshi mwingi, 'inakwenda kama inarudi' Je askari wa usalama Barabarani kama hizi zinawapita wapi? au macho yenu ni kwenye Magari yenye mambo flani tu?
IAA KUBORESHA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA ILI KUENDELEA KUZALISHA WATAALAM
MAHIRI
-
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amesema IAA
itaendelea kuimarisha miundombinu na mazingira ya kujif...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment