Shimo lililo katikati ya Barabara ya Ohio jijini Dar es Salaam ambalo ni hatari kwa watumiaji wa njia hiyo, mashimo kama haya yamekuwa yakiibuka katika njia nyingi kutokana na kuibwa kwa mifuniko ya 'Chemba' za maji, lakini hili wala si tatizo hilo kwani pembeni mfuniko wake unaonekana upo bali hii ni kutokana na kujengwa bila kuzingatia viwango ambapo shimo huanza kama mzaha katikati ya barabara hatimaye huwa kubwa na wakati mwingine kusababisha barabara kushindwa kupitika. Wahusika wapeni kazi hizi wenye makampuni yenye ubora wanaozingatia viwango "Hii ni kodi ya wananchi"
Habari : Bodi ya Ithibati Yawafungia Watangazaji wa Mjini Fm kwa Ukiukaji
wa Maadili ya Habari
-
Ukiukwaji wa Sheria na Maadili ya taaluma ya Habari uliofanywa na
watangazaji wa kituo cha redio cha Mjini Fm.
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media ...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment