Muwezeshaji wa Kampuni ya Pearson Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu vya shule za awali na vyuo nchini, Maria Ellokelo, akiendesha mafunzo kwa walimu waliohudhria mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa shule za awali jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Walimu wa shule za awali kutoka jijini Dar es Salaam waliohudhuria mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa awali wa shule za Msingi yanayoendelea katika Taasisi ya Elimu Tanzania wakijifunza kwa vitendo. Mafunzo hayo yamedhaminiwa na kampuni ya uchapishaji wa vitabu nchi ya Pearson Long Man.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam, wakijifunza kwa Vitendo katika mafunzo yaliyowashirikisha jumla ya Walimu 90 yakiwa yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu Nchi ya Pearson Long Man.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa Walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam,wakijifunza kwa Vitendo katika mafunzo yaliyowashirikisha jumla ya Walimu 90 yakiwa yamedhaminiwa na Kampuni ya Uchapishaji wa Vitabu Nchi ya Pearson Long Man.
Mmoja wa Walimu kati ya 90 waliohudhuria mafunzo ya siku tatu ya Uwezeshaji wa walimu wa shule za msingi jijini Dar es Salaam,Getruda John (kushoto) akimwonyesha Mratibu wa Elimu ya awali Clarence Mwinuka, kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi jinsi walivyojifunza kwa vitendo. Wa pili (kulia) ni Ofisa mwandamizi wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Long Man, Belinda Mafuru.
Ofisa mwandamizi wa Mauzo na Masoko wa kampuni ya Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu nhini, Belinda Mafuru, akimfafanulia jambo Mratibu wa Elimu ya awali, Clarence Mwinuka, kutoka Wizara ya Elimu na Mfunzo ya Ufundi wakati alipohudhuria katika Mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa Walimu wa shule za awali na shule za Msingi jijini Dar es Salaam yaliyodhamniniwa na Long Man Tanzania.
No comments:
Post a Comment