Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (suti nyekundu) akifurahia zawadi ya zulia yenye sura ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kukabidhiwa na Meneja wa banda la Home Shopping Center, Abdallah Shariff, alipotembelea banda hilo na kuangalia bidhaa mbalimbali zinazouzwa na HSC kwenye viwanja vya sabasaba kilwa road jana. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
MKURUGENZI MKUU WA HALOTEL TANZANIA ATEMBELEA BANDA LA HALOTEL KATIKA
MAONESHO YA SABASABA 2026
-
Mkurugenzi Mkuu wa Halotel Tanzania, Bw. Bui Van Thang, leo ametembelea
banda la Halotel katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es
Salaam ...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment