Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude,(kulia) akimwangalia mrembo Fatma Pongwe, anayeshiriki katika kinyang'anyiro cha kumskaka Miss Kinondoni 2011, wakati akichora mnyama aina ya Twiga katika shindano la kusaka vipaji lilofanyika jana jioni kwenye kumbi wa Hoteli ya Giraffe.Vodacom Tanzania ndiyo wadhamini wakuu wa shindano la Miss Tanzania.
MTIBWA SUGAR YAICHAPA PAMBA JIJI 1-0 DAKIKA ZA JIONI
-
TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC
katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jamhuri
Jij...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment