Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa tenki la maji lenye uwezo wa
kuhifadhi ujazo wa lita 50,000 lililojengwa kwa msaada na TBL kwa
sh. milioni 15 katika Kijiji cha Lugarawa, Wilayani Ludewa mkoa wa Iringa. Kulia kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (CCM) uzinduzi huo ulifanyika hivi karibuni ulioambatana na hafla fupi ya
kukabidhi mradi huo. Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha
Lugarawa, Wilayani Ludewa mkoa wa Iringa, wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi mradi huo.
Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Kijiji hicho wakitoa burudani, wakati wa hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment