Washiriki 11 wa Shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wanaotarajia kupanda jukwaani hii leo katika ukumbi wa Hotel ya Oasis wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Hoteli ya Usambara mjini Morogoro. Kampuni ya MD Digital Company ni moja kati ya wadhamini wa shindano hilo ambapo itamzawadia mrembo atakayeibuka kidedea na kuvishwa taji la Miss Photogenic katika shindano hilo.
JUKWAA LA KITAIFA LA WADAU WA KEMIKALI HATARISHI LAHITIMISHWA MOROGORO
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maabara yaMkemia Mkuu wa
Serikali, Christopher Kadio, akiongea wakatiakifunga Mkutano wa Jukwaa la
Kitaifa...
37 minutes ago
No comments:
Post a Comment