Mwanamuziki Mkongwe wa Dansi wa Bendi ya Bantu Group,Hamza Kalala (kushoto) akilisakata Bass wakati rapa wake, Maneno Mashine 'Shetani Mwekundu' akiimba sambamba na mashabiki kwenye Ukumbi wa Free Town Pub Manzese Uzuri Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUBADILISHA ARDHI KUWA MALI KUPITIA UWEKEZAJI
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo,
akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji
uwekezaji...
17 minutes ago

No comments:
Post a Comment