Kondakta wa daladala 'Chai Maharage', akishusha mzigo wa samaki nje ya soko Kuu la mjini Zanzibar leo, pamoja na samaki kupatikana kwa wingi mjini hapa lakini bado bei ya samaki imekuwa juu tofauti za siku za nyuma.
WATANZANIA WATAKIWA KUONGEZA UZALISHAJI KUFIKIA MALENGO YA DIRA YA TAIFA YA
MAENDELEO 2050
-
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuongeza uzalishaji
na kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ili kuiwezesha nchi
kufi...
8 minutes ago

No comments:
Post a Comment