Habari za Punde

*BREAKING NEEEEWZ! MBUNGE WA BARAZA LA WAWAKILISHI Z/BAR, MUSSA KHAMIS SILIMA AFARIKI DUNIA

 Mbunge wa Baraza la wawakilishi kutoka Zanzibar, Mussa Khamis Silima, akiwa  katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma jana baada ya kupata ajali eneo la Nzuguni wakati akitokea jijini Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma. Katika ajali hiyo mke wa Mbunge huyo, Mwanakheri Twali alifariki dunia baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma na Muda mchache uliopita Imetangazwa kuwa Mbunge huyo pia amefariki Dunia. "Inna Lillah wa inna lillah Lajhun"
 Gari la Mbunge huyo likiwa katika Kituo cha Polisi Dodoma baada ya kupata ajali hiyo jana.

Raia wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu, Mwanakheri Twalib, aliyekuwa mke wa Mbunge wa Baraza la wawakilishi, Mussa Khamis Silima wakati likitolewa katika Chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali  Kuu  Dodoma tayari kupelekwa, Zanzibar  kwa mazishi, yaliyofanyika mjini Zanzibar jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.