Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE ATUA PEMBA KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasalimia, Khamis Abdallah na mwenzake Mohamed Othman Omari, ambao ni walemavu wa viungo muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili. Picha na Fredy Maro

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na walemavu  Mohamed Othman Omari na Khamis Said Abdallah,  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba jana jioni kuanza ziara yake ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.