Vijana wafanya biashara za mkononi wakipozi kusubiri wateja ambao ni wasafari katika kituo cha Mabasi cha Kibaha Maili moja, huku wakionekana kuchoshwa na heka heka za kukimbia huku na huko kusaka wateja.
SERIKALI YATANGAZA VIJANA ZAIDI YA 5,000 KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UANAGENZI
NCHINI
-
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano)
imetangaza rasmi orodha ya vijana *5,746* waliochaguliwa kujiunga na
mafunzo ya uanage...
42 minutes ago
No comments:
Post a Comment