Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete, akipokea hundi ya Sh. Milioni 5, kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa kwa ajili ya kuchangia tamasha la wajasiriamali wanawake (MOWE) litakalofanyika kuanzia Oktoba 30 hadi Novemba 4. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Habari : Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Ashiriki Mkutano wa Dharura wa SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi
W...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment