"HADI KIELEWEKE JAMANI AU VIPI" Mwenyekiti wa wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron Steel, Raina Mwanyamba, akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufuatwa kwa taratibu za kazi.
MTATIFIKOLO AHIMIZA AMANI NA MAENDELEO KUPITIA SABASABA ISMANI
-
* Na Mwandishi WetuIRINGA – Mbunge wa Jimbo la Ismani, Mhe. Emmanuela
Mtatifikolo, amezindua rasmi maonesho na sherehe za Sabasaba zinazofanyika
...
4 hours ago




No comments:
Post a Comment