Habari za Punde

*EID EL FITR ILIKUWA NI SIKU YA FAMILIA KWA SUFIANIMAFOTO WEWE JE????

 Baada ya mfungo mtukufu wa Ramadhani waislamu wote Duniani walijumuika katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitr Agosti 31 mwaka huu, ambapo watu mbalimbali walijumuika katika sehemu mbalimbali na familia zao. 
Siku hii ni maalum ambayo watu wanatakiwa kuwa na familia zao zaidi na kutowaacha watoto wakitoka peke yao kwa sababu za kiusalama zaidi na kuepukana na mabalaa ya kiulimwengu. Sufianimafoto yeye alikuwa ni mmoja kati ya watu waliokuwa sambamba na familia, hapa akicheza na watoto wake katika Swimming pool Ufukwe wa Jangwani.
 Sufianimafoto akipozi kwa picha na sehemu ya familia yake.
 Watoto wa Sufianimafoto wakijumuika na wenzao kucheza katika Swimming.
 Ni mafoto ya ukumbusho tu yakiendelea ufukweni hapa.
 Watoto walifurahi siku hii kuwa na baba, hapa wakiendelea kuburudika ndani ya Swimming pool.
 Ilifika muda watoto walijumuika kwa pamoja katika mashindano ya kudansi....
Hapa wakiburudika kwa kuendesha Baiskeli za watoto.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.