Habari za Punde

*HUGHES NA VERONICA WAMEREMETA

  Bwana Harusi Hughes Dugilo, ambaye ni mfanyakazi wa Kituo cha Televisheni cha ITV akiwa na mkewe Veronica Kibasa, wakati wakiingia Kaniani kufunga Ndoa.
  Bi Harusi Veronica Kibasa akijiandaa kuingia kanisani tayari kwa kula kiapo na Bwana Hughes Dugilo katika kanisa la Anglikan Magomeni jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi na Bi. Harusi Hughes na Veronica wakiingia kanisani tayari kwa kula kiapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.