Habari za Punde

*KAMPUNI YA PAPAZI NAYO YAJITOSA KUIPA TAFU VODACOM MISS TANZANIA 2011


Mkurugenzi wa wa kampuni ya Papazi, Hans Pope (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni yake katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Lino International Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika pozi, wakati wa mkutano baina ya kampuni ya Papazi na waandishi wa habari ambayo imetangaza kuwa warembo watatu wenye Hobi na fani ya Ulimwengu wa sanaa za maigizo watafadhiliwa na kampuni hiyo pamoja na Miss Papazi atakaye jipatia kiasi cha pesa za kimarekani Dola 1000. Pia Kampuni hiyo itaongeza zawadi kwa washindi wa tatu wa mwanzo.
Warembo wakipozi kwa picha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.