Habari za Punde

*KASEBA NA 'MTAMBO WA GONGO' MANENO OSWARD KUZICHAPA JUMAMOSI WIKI HII

Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward, wakitunishiana misuri walipokutana, Dar es salaam leo kukumbushwa sheria mbalimbali za mchezo huo zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika jumamosi wiki hii. Katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.