Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL KUFUNGUA WIKI YA UCHUKUZI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Omari Nundu, akizungumza na waadishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa taarifa kwa kuhusu wiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Sekta ya Uchukuzi, inayotarajia kuanza Sept,14 hadi 17 mwaka huu,  ambapo mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Mohammed Gharib Bilal. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
Baadhi ya viongozi wa taasisi ya Wizara ya Uchukuzi wakimskiliza Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu(pichani hayuo) wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa taasisi ya Wizara ya Uchukuzi wakimskiliza Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu ( hayupo pichani)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Mhandisi Omari Chambo (kulia) akisoma ratiba ya maadhimisho hayo ya miaka 50 ya Uhuru ya Sekta ya Uchukuzi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.