Mmoja kati ya wachoraji wanaofanya shughuli zao za uchoraji pembezoni mwa Barabara ya Kilwa, eneo la Kamata, akiosha baiskeli yake huku akichota maji kwa kutumia 'Gambuti' kuchota na kumwagia baiskeli yake ili kuosha Baiskeli hiyo kama alivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto leo.
Ama Kweli Msanii Haachi Sanaa.

No comments:
Post a Comment