Habari za Punde

*TIMU YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YAPIGWA TAFU

Mwenyekiti wa timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC, Majuto Omary, akimkabidhi jezi Mwenyekiti, wa timu ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Staford Busumbiro kwa niaba ya timu inayokuja kwa kasi, Magomeni City kwa ajili ya kutumika katika michezo ya Shimiwi iliyopangwa kufanyika mkoani Tanga mwezi Novemba. Jezi hizo zilitolewa na Mmiliki wa timu ya Magomeni City, Idd Mhina.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.